Fahamu nchi ambazo rais Ruto amempigia kampeni Raila kuwa mwenyekiti wa Umoja wa Afrika

Uchaguzi wa mwenyekiti wa Umoja wa Afrika utafanyika mwezi Februari 2025.

Muhtasari

•Raila Odinga anatazamia kuchukua kiti cha mwenyekiti wa AU ambacho sasa kinakaliwa na Moussa Faki Mahamat wa Chad.

Ruto amempigia kampeni Raila kuwa mwenyekiti wa AU.
Nchi Ruto amempigia kampeni Raila kuwa mwenyekiti wa AU.
Image: WILLIAM WANYOIKE