Muhtasari
- Hali itakuaje iwapo kweli rais Uhuru hatamuunga mkono naibu wake Ruto kama alivyomuahidi?
- Je,nchini Uganda Bobi Wine atapata haki kupitia mahakama ambao majaji wake wanateuliwa na rais Museveni?
Katika Podcast hii tunatathmini hali ya kisiasa nchini Kenya baada ya kuibuka makundi mawili kuhusu anayefaa kumrithi rais Uhuru kenyatta na pia tunaangazia kinachofuatia nchini Uganda baada ya Rais Yoweri Museveni kushinda hatamu ya sita kuongoza taifa hilo

Maajuzi rais Uhuru Kenyatta alijitokeza kutoa usemi ambao uliwaacha wengi vinywa wazi aliposema kwamba huenda wakati umewadia kwa taifa kuongozwa na mtu kutoka kabila tofauti kando na jamii za kikuyu na Kalenjin .