logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mwanamziki maarufu wa Kalenjin Olesos Melodies adungwa kisu na mchezaji wake

Mwanamziki maarufu wa Kalenjin Olesos Melodies adungwa kisu na mchezaji wake

image
na

Yanayojiri02 October 2020 - 01:44
Olesos Melodies, mmoja wa mwanamziki mashuhuri wa nyimbo za kisasa za Kalenjin adungwa kisu na mmoja wa mchezaji wake.

Habari zinazotufikia zina ashiria kuwa mwanamziki huyu alikuwa na ugomvi na mmoja wa wachezaji kabla ya kumdunga kisu kwenye kiwiliwili.

Picha zake baada ya kuchomwa kisu zilitandaa.

Tazama baadhi ya picha za hizo.

Olesos Melodies alipata umaarufu baada ya wimbo wake Pilipilyot kuvuma sana, anaongelea kuhusu 'maumbile' na kuwa yana umuhimu.

Habari hii bado i jikoni, tegea hapa kwa habari kamili.

Mwezi wa Aprili, Olesos Melodies alifunga ndoa na mpenzi wake wa kizungu, Andrew Odegard, katika harusi ya kimila. Uhusiano wao ulikuwa wa kushukiwa, hata hvyo tazama baadhi ya picha kutoka kwa uhusiano wao.

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved