logo

NOW ON AIR

Listen in Live

PATANISHO: Nitajiua kama sitapatana na mke wangu

PATANISHO: Nitajiua kama sitapatana na mke wangu

image
na

Yanayojiri02 October 2020 - 10:42
Johny 30, alituma ujumbe akisema atajiua kama hapatanishwe na mkewe Judy, 29, ambaye aliondoka na wanawe.

Johny alielezea,

Mke wangu alitoka na akaenda na watoto hiyo kitu hunipea stress sana na imekuwa miezi mitatu sasa. Nilitoka mahali tulikuwa tunaishi na nikaenda shagz kiasi na wakati huo sikuwa na kazi.

Nikakaa nyumbani for like one month na nikamwacha nyumbani pamoja na wazazi wangu kwani mahali nimejenga ni karibu na wazazi wangu.

Anasema kuwa wawili hao wamekuwa kwa ndoa ya miaka sita na bado hakuwa ameenda nyumbani kwa Judy ili ajitambulishe, na anasema babake mkewe alimshauri asirudi kwake.

Mara ya mwisho nilizungumza naye ni jana na hakuniambia siku ya kurudi kwani anataka kupumzisha akili.

Kama ilivyo hali siku ya Alhamisi, leo pia patanisho yetu iligongwa mwamba kwani simu ya mkewe Johnny haikujibiwa na ni kama alikuwa amezima simu yake.

Je ni mawaidha yepi unayo kwake bwana Johny?

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved