logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Kwanini wanaume wengi hufanya punyeto licha ya kuwa na wapenzi

Kwanini wanaume wengi hufanya punyeto licha ya kuwa na wapenzi

image
na

Habari01 October 2020 - 09:38
Si wanaume tu peke yake bali hata wanawake huwa wanfanya punyeto licha ya wao kuwa na wapenzi wao, wengi wanasema kuwa nikupagawa na mapepo bali wengine wanasema wanafanya hivyo ili kujifurahisha.

Lakini sababu ni ipi haswa kwa wanaume kufanya punyeto licha ya wao kuwa na wake au wapenzi? Husitie shaka jibu la swali lako ushaayapata hapa.

Hizi hapa sababu za wanaume kufanya hayo licha ya kuwa na wapenzi wao;

1.Mpenzi au mke akiwa ni mjamzito

Kwa kweli mwanamke akiwa mjamzito michezo ya kitandani haweani kamwe huku ikichangia wanaume wengi kufanya punyeto, licha kuwa na wake zao nyumbani, hii ni kwa sababu anahaja ya kufanya ngono lakini hawezi kwa maana mwenzake hana hamu wala hawezi kwa sababu ya ujauzito.

2. Hupunguza umwagaji wa mapema

Kulingana na visa vya wanaume wengi humu nchini wengi baada ya kufanya ngono humwaga kwa haraka sana huku hamu ya ngono ikiisha kwake bali kwa mpenzi wake bado hamu hiko kwa wingi.

Wengi husema kuwa wakifanya punyeto mara kwa mara  endapo wanafanya ngono na wenzao huwa hawamwagi haraka.

3.Tabia

Wanaume wengi wameshindwa kujinasua kutokana na kufanya punyeto kwa maana wamezooea kufanya yaani ni tabia ambayo wamejizoesha kufanya kila mara endapo wamo pekeyao chumbani.

4. Ni moja wapo ya njia ya ngono

Si wote ambao wanapenda kufanya ngono bali hutegemea punyeto kama ngono yao sababu haswa nani anafahamu ni wao tu.

Lakini swali  kuu ni je mwanamume au mwanamke anapaswa  kufanya punyeto licha ya wao kuwa na wapenzi?


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved