logo

NOW ON AIR

Listen in Live

VIDEO: Mtoto Wa Miaka 4 akiri mapenzi kwa mwanawe Diamond, Tiffah Dangote

VIDEO: Mtoto Wa Miaka 4 akiri mapenzi kwa mwanawe Diamond, Tiffah Dangote

image
na

Burudani01 October 2020 - 15:00
Ukistaajabu ya musa kweli utayaona ya firauni!.

Kijana mwenye umri wa miaka kati ya minne na tano, aliwashangaza wengi wakti alipokiri mapenzi yake kwa mwanawe msanii mashuhuri wa Tanzania, Diamond Platinumz, Tiffa Dangote.

Mwana huyo ambaye inaaminika ni wa kutoka nchini Tanzania, amepata umaarufu baada ya kanda yake kusambaa mitandaoni huku akikiri kuwa hamna mwanadada mwingine ambaye ameiteka roho yake hanga nyara ispokuwa Tiffah Dangote ambaye ni wa umri wa chini ya mwaka mmoja.

Alipoulizwa mbona Tiffah Dangote ndiye aliyeiteka roho yake nyara alijibu kwa ubabe, "Tiffah ana pesa". Do!.

Tizama kanda ifuatayo.

&feature=youtu.be

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved