Wapendwa hao walio na watoto wawili, walikosana na kutengana miaka miwili iliyopita huku kila mmoja kuamua kuisha pekee yake, baada ya ndoa ya miaka minne.
"Tumekuwa tukijadiliana mara kwa mara lakini hatujawahi pata suluhu la ugomvi wetu." Alieleza bwana Godfrey.
"Mke wangu alipata kazi akaondoka nyumbani, tunatembeleana mara kwa mara. Nikimuomba msamaha hataki kunisamehe wala hasemi makosa yangu." Aliongeza Godfrey.
Kulingana na Mama Ivan wawili hawa walikosana miaka mitatu iliyopita lakini hakuwa amechukua vitu zake au mali yake.
"Jumapili iliyopita alikuja nyumbani na kuchukua vitu vyake vyote. Mwambie Radio Jambo ni yeye kwanini alipochukua mali hakuja kwa redio?" Alilalama Mama Ivan kabla ya bwana Godfrey kuongeza kuwa ashuku mkewe alipata bwana mwingine kwani ashawahi pata vitu vya aibu (mipira ya kondomu) ambazo za dhihirisha huenda ana jamaa mwingine.
Pata uhondo kamili.
&feature=youtu.be
