logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mganga akamatwa kwa kumwua mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja

Mganga akamatwa kwa kumwua mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja

image
na

Burudani02 October 2020 - 01:49
uchawi
 Mganga mmoja  amekamatwa huko transnzoia  kwa kumfanyia ganga ganga zake mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja ambaye baadaye aliaga dunia .

Kulingana na mama ya mtoto huyo , mwanawe alitumbukizwa katika maji moto na mshukiwa  ili kumwondolea  majini .

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved