logo

NOW ON AIR

Listen in Live

A friend indeed! Akothee awauliza mashabiki kumsaidia Lady Maureen

A friend indeed! Akothee awauliza mashabiki kumsaidia Lady Maureen

image
na

Makala02 October 2020 - 05:22
Lady Maureen ni mwanaziki chipukizi ambaye muimbaji wa nyimbo za lugha ya luo amekuwa mgonjwa kwa muda sasa na familia yake imemtenga.

Lady Maureen yuko katika hospitali ya Jaramogi Oginga ambapo amelazwa hapo kwa muda.

"Support a woman and save the village. We are doing this as #teamakothee. Action is better than a pity party." Akothee Alisema.

Alisema kuwa hakuweza kumpa shamba la kuishi kwa maana hakuna mtu yeyote wakumsaidia kwa hivyo alikuwa mikononi sawa ya familia yake, na hawakuwa na ukoo wowote.

""She is safe with her relatives." Alisema Akothee.

Maureen ambaye alitoka hospitali tarehe 20,Februari hakuwa na mahali pa kuenda kwa maana familia yake ilimkataa, lakini Mungu hamwachi mja wake Msamaria mwema Nancy Achieng alimchukuwa na kuanza kumsaidia kwa vyovyote vile.

Akiwa katika mahojiano Nancy alisema,

" Niliongea na mama yake na akaniambia nisimpeleke nyumbani kwake." Alieleza.

Akothee amesema kuwa mjomba wake amempa shamba baada ya familia yake kumkataa.

"Niliwasiliana na mmoja wa wajomba wake na lady Maureen yupo katika nyumbani mwake, amejitolea kumpa shamba ambayo anapaswa kujenga nyumba yake

Mama yangu ataenda Nyakach kwa niaba yetu." Akothee Aliandika katika mtandao wake wa kijamii wa Instagram.

Mama Maureen alipokuwa katika mahojiano alisema kuwa rafiki zake Maureen walimtenga baada ya kulazwa hospitali.

"Wale wote walikuwa wanakula blueband na Maureen Nairobi wote walimtoroka." Alizungumza mamake Maureen.

Akufahaye kwa dhiki ndiye rafiki na pia hawakukosea walipo sema rafiki ni kufahana wala si kufanana.

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved