logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Hello? Teacher Wanjiku huyo mrembo wako, mahari ni kiasi gani? Tazama mtoto wa Wanjiku aliovyoumbika

Hello? Teacher Wanjiku huyo mrembo wako, mahari ni kiasi gani? Tazama mtoto wa Wanjiku aliovyoumbika

image
na

Burudani02 October 2020 - 09:35
NA NICKSON TOSI

Teacher Wanjiku ni miongoni mwa wacheshi maarufu nchini na ambao wana idadi kubwa ya wafuasi wengi nchini kutokana na ucheshi wake. Wasichokifahamu watu wengi ni kuwa mama huyo amebarikiwa watoto wawili wasichana ambao wamebarikiwa sura ajabu.

Wakati mwingine Teacher Wanjiku hupenda kujiita Mama Zuri na watu wengine hudhani ni labda ni jina lingine la majazi. La hasha mmoja wa mtoto wake anaitwa Zuri na mwingine anaitwa Nicole.

Hapa tumeweka wazi picha za vichuna hao wawilki, tazama.

Wanamfuatilia kwenye vitandawazi vya kijamii walikuwa na haya ya kusema.

mwangi_wa_ndichu Sasa hapa nani mama ya mwingine 🔥🔥🔥😍😍

nycewanjeri Aki ako mtall kukulikooo

connie_nyambu 🔥🔥slaying goals

kevo1083 Waooo I love it


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved