logo

NOW ON AIR

Listen in Live

‘Acha makasiriko.’ Amberay amwambia mpenziwe Brown Mauzo

‘Acha makasiriko.’ Amberay amwambia mpenziwe Brown Mauzo

image
na

Habari02 October 2020 - 06:25
brown
Kwa hakika Amberay na Brown ni kama wanacheza mchezo wa paka na panya wa kimapenzi. Hii ni baada ya Amberay kuandika katika mtandao wake akisema kuwa mtu amwambie mauzo aache makasiriko.

Mmoja wao kama amekasirika kila mtu lazima ajue kwa maana huwa wanaleta makasiriko yao katika mitandao ya kijamii.

Mwaka jana, wawili hao walionekana wakiwa pamoja hadharani, walikana madai kuwa wawili hao ni wapenzi lakini baadaye wakasema kuwa walikuwa wapenzi.

Mmmmh lakini kwa sasa Amberay inaonekana yupo peke yake katika karantini kwa maana aliposti akicheza wimbo wa Mauzo wa hivi maajuzi.

Aliandika na kusema,

"JUST HERE FEELING MYSELF 🥰 

CAN SOMEONE PLEASE TELL @BROWNMAUZO254 AWACHE MAKASIRIKO 😁."Amberay Aliandika.

Mwaka jana, mauzo alithibitisha kuwa wawili hao walikuwa wapenzi

“LOVE YOU LIKE A FAT KID LOVES CAKE."BROWN MAUZO Alisema.

Pendo kweli lilikuwa limenoga huku Ray akijibu

“Thank you for loving me 🥰I love you more honey ❤️❤️.” Ray Alijibu.

Mashabiki wake kwa haraka walitoa hisia na maoni yao, haya hapa maoni yao

nakshi_eve

Ako kwa jovial 😁😂😂 mfuate uko

tuniy_001

Yani nilikuwa najiulizaga kimoyo kimoyo tuu pekee yangu kuwa huku kuliendaje

matoney

Finally Karibu nikuilize kuliendaje mimi Kama insta in law

k_lama_rapstar

@iam_Amherst mzalie japo in mtoto mmoja @brownmauzo254 Amelia sana 😂😂😂

mmwende

Baridi imezidi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved