logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Siku ya Siku i hapa! Joyce Gituro kutamba hewani Kesho

Siku ya Siku i hapa! Joyce Gituro kutamba hewani Kesho

image
na

Burudani02 October 2020 - 07:40
unnamed (13)
Mwanahabari tajiki katika sanaa ya uanahabari nchini Joyce Gituro anatazamiwa kuongoza halaiki ya mashabiki wake ndani ya kipindi cha Injili Jumapili kupitia Radio Jambo kuanzia hapo kesho.

Akizungumza na mtandoa wa Word Is, Gituro amesema kujiunga na kituo hicho kufanya kipindi hicho ni mwito .

"I have been trying to run away from gospel shows for quite a while but God always returns me. It's a confirmation that He wants me to serve Him," alisimulia

 Joyce, amesema kuwa alidhani hatawahi kuwa tena kwenye redio japo milango ikafunguka ."I had decided to concentrate on management but one day, the voice of God came in a dream and told me to spread his word. I was worried because I had put someone to do the gospel show," alisema Joyce

Aliongezea kuwa hatua yake ya kutaka kuzamia kuenezea neno la Mungu kupitia mitandaoni ni kutokana na kufanya kazi kwa redio zaidi ya miaka 20."  I told God now that He had let me go, I would preach His word on my social media platform. I am sure you will not surprise me again," 

Amesema atatumia fursa hiyo kuendeleza neno la Mola.

"I took the opportunity gladly. It's a good platform and I just want to spread the word as He has commanded me to do,"

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved