Ni cheche za maneno ambazo zimeibuka mitandaoni baina ya viongozi mbalimbali baada ya Waiguru kutimuliwa na wawakilishi wadi mnamo jana.
Licha ya hayo hakujua kuwa alikuwa amejiingiza kwenye moto, baada ya usemi wake.
“Wondering if a similar letter from 4 & I got lost in the mail? Could the Ministry of Gender not be aware that we are women too? Cess, perhaps it’s time for you & I to send Kobia our naked pics then she might stand up for us against the bully too." Aliandika Kihika.
Katika usemi wake Margaret alisema kuwa waliomtimua Waiguru hawakutambua mwanamke bomba wala kazi ambayo wanawake wanayoifanya.