logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mumewe mtangazaji Massawe Japanni amfanyia haya akisherehekea siku yake ya kuzaliwa

Mumewe mtangazaji Massawe Japanni amfanyia haya akisherehekea siku yake ya kuzaliwa

image
na

Dakia-udaku01 October 2020 - 10:58
Mtangazaji bora wa lugha ya kiswahili Massawe Japanni ameongeza mwaka mmoja katika miaka yake, Massawe anasherehekea siku yake ya kuzaliwa siku chache baada ya mume wake, Tom kufikisha miaka 50.

Tom alimwekea sherehe mke wake ambayo ilihudhuriwa na marafiki wa karibu na familia yake, mavazi hafla hiyo ilikuwa ya rangi nyeusi na nyeupe.

Kupitia kwenye mitandao yake ya kijamii Massawe aliandika haya ili usherehekea siku yake maalum,

"ANOTHER YEAR. GRATITUDE IS A MUST. YES." Massawe Aliandika.

Tom naye aliposti picha ya Massawe na kuandika ujumbe ufuatao;

"ANOTHER YEAR OF BLESSINGS AND GOD’S FAVOR. HAPPY BIRTHDAY MY LOVE."

Hizi hapa baadhi za jumbe za mashabiki wake;

burale1 Happy birthday my great friend. May God lift you higher

sowairina Happiest Birthday beautiful 😍🎂

teacherwanjiku Happy birthday my dear @massawejapanni you are such a darling..❤️

mwanaisha_chidzuga Madam Happy birthday kwa saanaaa🔥🔥🔥🔥

wanjiru_mbugua Eishhh.. Clean! Happy Birthday Queen, here’s to a blessed year ahead!

antondiema Happy Birthday Dadetu! May God increase you greatly in this season

floradull Bday blessings dear @massawejapanni … enjoy❤️

isaiahlangat Happy Birthday MJ 🎂🎉 Cheers to many more celebrations ❤️

wamboi_jumah Happy birthday and More winnings to you 🎂🎈🎉😘😘

chris_kyallo Many more years full of joy and happiness

kayerimudoga Happy birthday to you Massawe. God bless you abundantly

phanny_val Happiest birthday to you mama more love enjoy to the fullest ❤️❤️❤️❤️❤️

Hizi hapa baadhi ya picha za hafla hiyo;


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved