logo

NOW ON AIR

Listen in Live

‘Mtunze mkeo na koma kuwasumbua wasichana– Anerlisa Muigai ampa ujumbe Ben Pol

‘Mtunze mkeo na koma kuwasumbua wasichana– Anerlisa Muigai ampa ujumbe Ben Pol

image
na

Burudani01 October 2020 - 10:22
Je Anerlisa Muigai  ameachanana mumewe msanii wa Tanzania  Ben Pol  ama kutengana kwao I maiguzo tu?

Hicho ndicho wanachojiuliza watu wengi baada ya  mrithi huyo wa ufalme wa kibiashara wa Keroche kuzifuta picha zake na Ben Pol .

Anerlisa,  anafahamika kwa posti zake na picha nyingi alizokuwa akifurika mitandao ya kijamii akimsifia Ben Pol lakini wengi asa wanashangaa mapenzi yalityorokea wapi .

Anerlisa ameiposti video Fulani kutoka  filamu ya Nigeria inayoaminika ilikuwa ni kama ujumbe anaomtumia mume wake

 ‘ wanawake wote wabarikiwe

aliandika chini ya video hiyo .

Katika video hiyo mwanamme mmoja tajiri anamwendea mwanamke akimtaka amuoe kisha wanufaike kutoka kwa kila mmoja  .mwanmme huyo anajigamba ni anamuitisha nambari ya kaunti msichana huyo na kumpa  Naira laki tatu ambazo ni kama shilingi elfu 85

 ‘ nafaa kufanya nini na hizi pesa .je nafaa kununua petroli ya gari langu ama nimpe dereva wangu ? mwanamke anamuuliza

Inapofika zamu yake mwanamke huyo anampa jamaa huyo  naira milioni 10 au takriban shilingi milioni mbili za Kenya ..mwanamme anapatwa na mshangao

.’.. UPGRADE YOUR CAR, TAKE CARE OF YOUR WIFE AT HOME AND STOP HARASSING YOUNG LADIES, ‘  anamuambia kabla ya kuingia katika gari la  ROLLS ROYCE linalomngoja

Tazama maoni ya wafuasi wake kuhusu posti hiyo

sheilamwanyigha

fatmaally82 So this is the reason

michealsamsam Only in movies,women are too mean

mwai Feminists if only all of you were like her

shelly_magdalene Leo mjama ameshikwa anajionanga yeye ndio ako na pesa


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved