Hatimaye msani wa Bongo Diamond ameshukisha mitandaoni viedeo ya wimbo wake wa ‘waah’ alimshikirikisha maestro wa DR Congo Koffi Olomide na mashabiki wamefurika kuitzama video hiyo .
Ingawaje krisimasi hii haitakuwa kama nyingine za hapo awali kwa sababu ya janga la Corona , mashabiki wa wasanii hao wataweza kuwa na kibao hicho kwa njia ya video ili kudensi na kuitazama
Wimbo huo wao una mshiko wa kibongo na lingala