logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Je,ni kiwango kipi cha wivu wa kimapenzi kinachokubalika?#PodiyaYusufJuma

Utajuaje kwamba mwenzio ana wivu wa kudhuru?

image
na Radio Jambo

Burudani01 December 2020 - 09:58

Muhtasari


 

  •  Utajuaje kwamba mwenzio ana wivu wa kudhuru?
  •  Licha ya kuwa katika mapenzi ama uhusiano mnafaa kuachiana muda wa kila mtu kuwa mtu huru kivyake 

 

Wivu katika mapenzi ni jambo la kawaida ,lakini utajuaje iwapo wivu wa mwenzako umevuka mipaka?

 Amesimulia kisa kimoja jamaa ambaye mpenzi wake ana wivu  kupindukia na kila  hatua inayoonekana a kawaida kwake humtia mashakani .Hawezi hata kuwa na rafiki wa kike au kuamkuana na mtu wa kike wakicheka . Kesi zake mbele ya ‘mahakama’ ya mpenzi wake zinafanyika  kila siku na sasa ameanza kujiuliza iwapo kuna tatizo Zaidi ya kinachoonekana kuwa wivu wa kimapenzi .

 Katika Podi hii nzima tunajadili masaibu yake na kufahamu ni kiwango kipi cha wivu kinachofaa kuchukuliwa kama cha kawaida

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved