Msanii wa ukambani Stephen Kasolo kwa mara ya kwanza amejibu uvumi na madai kuwa ni mmoja wa wasanii ambao wamejiunga na Illuminati.
Kasolo alifahamika sana baada ya kutoa albamu yake ambayo inafahamika kama 'Kitole', ni wimbo ambao ulipata watazamaji wengi hasa wa eneo bonde la masharikini mwa kenya.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa facebook Kasolo aliuliza wanaoeneza uvumi mahali wamepota hadithi kuwa yeye ni mmoja wa illuminati.
Pia msanii huyo alisema kwamba kabla ya kuanza kazi yake ya usanii alifunga na kuomba katika eneo la Katoloni kaunti ya Machakos.
"Na hii story ya illuminati ilitoka wapi, wadau kabla ya kuanza safari yangu ya muziki nilienda katika maeneo ya maombi ya katoloni nimeweka mambo wazi?" Kasolo Aliandika.
Baada ya ujumbe wake ulipokea hisia nyingi kutoka kwa mashabiki na hizi hapa baadhi ya hisia zao;
Winfred Wango: When I bought my car they said the same,,don't mind them,,,
Nancie Mwikali: Hata mseme nini Wilberforce musyoka &Ev.john kay will remain to be the only kamba gospel artists....No dramas,the men are humble and their songs blesses everyone hata walevi....kujeni mnipige
Cate Dan Oroni: People don't know God π is provider of talents and all silver and gold is his.never worry about people bro focus on ur call.
Dann Zlatan: Binadamu ni wale wale tu..huwezi wapendeza wote ata ukawafanyia nini lazima kuna number kidogo itabakia kuwa mahasidi..la muhimu ni kuchapa kazi zako bora unajua unapoelekea ata wakisema mabaya kukuhusu acha waseme