Sportpesa imepata poigo baada ya Bodi ya kusimamia michezo ya kubashiri kuipokonya leseni kampuni ya Milestone Games Ltd.
Hii ni baada ya BCLB kusema kwamba imefanya uchunguzi na kugundua kwamba kampuni hyo ilibadilisha orodha ya wakurugenzi baada ya kupewa leseni kwa mwaka wa 2020-2021 .
Bodi hiyo hiyo imesema orodha ya wakurugenzi iliyowasilishwa wakati wa kutaka maombi ilibadilishwa aada ya leseni kutolewa .
