Eunice Mammito ni mcheshi ambaye ana bidii ya kipekee licha ya yake kufichua kuwa amelelewa na mama peke yake baada ya baba yao kuwatotorka akiwa na umri wa chini.
Mammito ni mcheshi wa kipindi cha Churchill, ambapo ameweza kukuza talanta yake na hata kujiendeleza kupitia kipindi hicho.
Kupitia kenye ukurasa wake wa instagram aliposti picha akiwa na michoro huku mashabiki wake wakipendezwa na picha hiyo na kumsifia.
Wengi wamekiri kwamba Mammito ni mrembo kupindukia.
Hizi hapa baadhi ya sifa na hisia za mashabiki wake;
iamnzivobrian: Kumbe hii mali ni Safi mchezo ndo mingi π
lugenjuma: Mambo ya pwani kuleee mombasani
wangui____: Utashinda umetesa watu izi streets π
middle_simba: Ur so beautiful ukiacha ujinga ππππππ
soccerdaaddy: Eiiish mamito ameiva nimserve mudish. Aki wewe!
sirallantois: Kumbe unaeza rembeka hivi... Pesa kweli huosha π₯π₯π₯π₯π₯
dantezmutula: πππkumbe unakuaga na kakitambi kadogoππππ₯π₯π₯
