logo

NOW ON AIR

Listen in Live

'Roho imeniuma sana,' ujumbe wa Diamond kwa msemaji wa Simba harusini

Msanii na staa wa bongo nchini huko Diamond Platnumz hakuhudhuria harusi yake

image
na Radio Jambo

Burudani13 December 2020 - 09:51

Muhtasari


  • Diamond amwamndikia msemaji wa timu ya mpira ya Simba Tanzania ujumbe baada ya yake kufunga pingu za maisha

Msemaji wa timu ya mpira ya Msimbazi maarufu Simba FC Manara amefunga pingu za maisha na mpenzi wake wa miaka mingi.

Harusi yake ilihudhuriwa na marafiki wa karibu, wanakandanda, wanasiasa na familia kutoka pande zote mbili.

Msanii na staa wa bongo nchini humo Diamond Platnumz hakuhudhuria harusi yake licha ya kuwa rafiki wa karibu wa Manara.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alikuwa na haya ya kusema kuhusu harusi hiyo.

" My brother @hajismanara roho imeniuma sana kukosa katika siku yako hii kubwa kutokana na mambo ya kazi...lakini naamini Mwenyez Mungu ana Mipango yake...najua now mnaenda Honeymoon mkirudi tafhadhali naomba wasaa nije kuwatembelea nyumbani, nami niwaletee kizawadi changu...Hongera sana na Mwenyez Mungu awajaalie Ndoa yenye Upendo, Maskilizano, Amani, Mafanikio na Kudumu🙏🏼." Aliandika Diamond.

Diamond alisema kwamba alikosa kuhudhuria harusi hiyo kwa maana alikuwa na shughuli za kikazi.

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved