Msanii wa nyimbo za injili Ringtone Apoko kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amemfichua mwanamke mmoja ambaye amekuwa akimtumia picha akiwa nusu uchi.
Baada ya picha hiyo wawili hao walianza mazungumzo huku msanii huyo akimkemea mwanamke huyo.
"Shetani na majaribio ambayo sisi watumishi wa Mungu tunakumbana nayo kila siku, kwa yote tunamshinda shetani kwa jina la Yesu." Aliandika haya msanii huyo.
Hizi hapa baadhi ya hisia za wanamitandao baada ya kuona ujumbe wake Ringtone;
holydavemuthengi Bro hata mimi wananitumia hizi vitu na staki. 😏 Shetani ashindwe! 😊
lamboghin7 Why should you expose a lady like seriously na wewe tu ndo upimpea number yako
mrphatmusiq Anataka kuangusha wokovu 😂😂😂
sharon.shazz1 Matako ndio ulipenda tu wewe sai unajifanya hapa🚮😏
mburumunga We unatupima alitoa wapi namba yako?
trizahfavoured You are one of a kind Mr Apoko, grow up sio lazima uanike kila kitu online, man up🙄
_account_on.sale Kujifanya na utarudi nyuma yetu utume fare 😂😂😂pretence tu na attention ndio skuizi wasanii wa Kenya wamebakisha kama talent