Siku moja baada ya kutenga muda kuwa na mwanawe aliyezaa na Hamisa, Dylan, staa wa Bongo Diamond Platnumz aliabiri ndege na kutua jijini Nairobi.
Diamond ambaye alikuwa akiendeshwa na magari ya kifahari yaliyokuwa na ulinzi mkali, alichapisha video yake akifurahia kuwa na mwanawe Kenya.
Mama Dangote na mumewe Uncle shamte walipakia picha za Diamond akwa na mwanawe Naseeb Junior.
Mmoja wa mashabiki wake Shamte alimwambia aweze kupakia wanawe na wala si wa wenyewe.
Shamte hakukimya alimpa boonge la jibu shabiki huyo.
"Post wanao wewe acha ujinga ๐น๐น๐น๐น." Shabiki alimwambia Shamte.
Haya hapa majibu ya Uncle Shamte
"Nataka uumie kama hivi nikiposti wangu huumii,"