logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Rais Uhuru Kenyatta nchini Tanzania kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili

Sherehe hiyo ilifanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na Rais Kenyatta ambapo alikuwa mgeni mkuu.

image
na Radio Jambo

Burudani09 December 2021 - 12:33

Muhtasari


  • Rais Uhuru Kenyatta nchini Tanzania kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili

Rais Uhuru Kenyatta yuko nchini Tanzania kwa ziara ya Kiserikali ya siku mbili kwa mwaliko wa Mkuu wa Nchi ya Tanzania Samia Suluhu.

Rais aliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam siku ya Alhamisi na baadaye kuhudhuria sherehe za miaka 60 ya Uhuru wa nchi hiyo.

Sherehe hiyo ilifanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na Rais Kenyatta ambapo alikuwa mgeni mkuu.

Rais Kenyatta ni miongoni mwa Wakuu wa Nchi na Serikali walioalikwa na Mheshimiwa Samia Suluhu kuhudhuria Sherehe hizo katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, Tanzania.

 

 

 

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved