logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Hizi ndizo ofa za tunukiwa unazofaa kuraukia kila siku

Ni rahisi sana,  piga tu *444# na uchague Mikataba ya Dakika au tumia mySafaricom App.

image
na Radio Jambo

Burudani29 September 2022 - 14:20

Muhtasari


  • Raukia ofa za Tunukiwa ni suluhisho moja kama hilo ambalo linakuwezesha kuokoa pesa taslimu kila siku na pia inakuwezesha kufurahia muda mrefu wa mazungumzo.

Daima kuna rafiki mmoja (au kadhaa) ambaye anajitolea kutusaidia wakati wowote tunaohitaji. Mara nyingi wanatusikiliza na kutupa mawaidha tunapopitia majaribio katika mahusiano yetu ya kimapenzi, tunapotoa kero zetu kuhusu kazi zetu na wakati mwingine wako pamoja nasi kusherehekea ushindi wetu mdogo. Hawa ndio marafiki zetu wa kufa kuzikana. Marafiki hao hujitokeza wakati tuko taabani na kutusaidia bila kuuliza maswali yoyote.

James Onyango, shabiki nambari moja wa Radio Jambo kutoka Kawangware, Nairobi anasema kwamba rafiki wake wa dhati ni kijana waliyesoma naye shule ya upili. “Tumejuana karibu miaka ishirini na sijaona rafiki wa dhati kama yule. Ameniokolea wakati sina karo ya shule ya watoto wangu, alikuwa best man kwa arusi yangu, na anaiombea familia yangu kama vile yake,” Onyango anasema.

Safaricom inakushawishi kusherehekea marafiki hawa wa dhati au familia kwa kuraukia ofa yao mpya ya tunukiwa.

Lengo la Safaricom ni kukupa suluhisho ambazo zitakusaidia na kubadilisha maisha yako kila siku. Raukia ofa za Tunukiwa ni suluhisho moja kama hilo ambalo linakuwezesha kuokoa pesa taslimu kila siku na pia inakuwezesha kufurahia muda mrefu wa mazungumzo. Ni rahisi sana,  piga tu *444# na uchague Mikataba ya Dakika au tumia mySafaricom App.

Hii ndiyo mikataba utakayoipata:

1. Unlimited Calls kwa shilingi kumi tu unapata dakika 30 (valid 30mins @10bob)

Piga *444# na uchague Mikataba ya Dakika au ingia kwenye MySafaricom App. Ofa ni halali kwa dakika thelathini tu baada ya kununua. Dakika zinaanza kuhesabu mara moja na zinaweza kutumika kupiga simu kwa mitandao yote ndani ya Kenya.

2. Unlimited Calls kwa shilingi ishirini tu kwa lisaa limoja (valid 1Hr @20bob)

Piga *444# na uchague Mikataba ya Dakika au ingia kwenye MySafaricom App. Ofa ni halali kwa dakika sitini baada ya kununua. Dakika zinaanza kuhesabu mara moja na zinaweza kutumika kupiga simu kwa mitandao yote ndani ya Kenya.

Safaricom inakuinua na ofa nzuri za Tunukiwa kila siku.

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved