logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mwigizaji Selina amsifia mwigizaji mwenzake Kate Actress

Asilimia kubwa ya wasanii wamekuwa wakifokeana na kushambuliana mitandaoni

image
na Radio Jambo

Burudani18 January 2023 - 11:38

Muhtasari


  • Kupitia kwenye ukurasa wa mwigizaji Celestine Gachui almaarufu Selina amemlimbikizia sifa Kate, huku akisema amekuwa mfano mwema kwenye tasnia ya uigizaji

Katika tasnia ya burudani sio wasanii au waigizaji wote ambao huwatakia wenzao maisha mema au kuwalimbikizia sifa kila wanapopata nafasi.

Asilimia kubwa ya wasanii wamekuwa wakifokeana na kushambuliana mitandaoni jambo ambalo mashabiki wao wamekuwa wakisema ni shoo mbaya kwao.

Mwigizaji Catherine Kamau almaarufu Kate Actress amekuwa kwenye tasnia ya burudani kwa zaidi ya miaka 5,huku akifahamika sana kupitia kwa bidii ya kazi yake ya uigizaji.

Kupitia kwenye ukurasa wa mwigizaji Celestine Gachui almaarufu Selina amemlimbikizia sifa Kate, huku akisema amekuwa mfano mwema kwenye tasnia ya uigizaji.

Aidha aliongeza kwamba akimuona Kate huwa anaona mambo makubwa kwani amekuwa motisha wake.

"Leo ninamsherehekea mwanamke huyu @kate_actress , ndiye motisha yangu 🄰 haswa kwenye tasnia yetu hii. Ninapomwona naona mbali zaidišŸ’ƒā¤,"Aliandika Selina.

 

 

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved