Photo source: jambonewspot.com
Mahakama kuu imemzuia kwa muda mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma kumkamata na kumshtaki gavana wa Machakos Alfred Mutua kutokana na kununua magari kinyume cha sheria hadi kesi aliyoiwasilisha itakaposkizwa na kuamuliwa.
Jaji Isaac Lenaola atatoa uamuzi Februari 3 iwapo gavana Mutua atashtakiwa au la. |