Kulingana na ripoti, inasemekana kuwa mwanaume huyu alikuwa ameenda kujiburudisha kwa kunywa pombe na rafiki zake kisha wakamkata uume wake.
Jamaa, Mickson akizungumza na vyombo vya habari alisema kuwa, mhusika, jina lake Moses Wanyoike aliamka na kupata hana sehemu yake ya siri.
Zaidi yayo, inasemekana kuwa, huenda aliyemkata sehemu zake alizikula pia.
“THE DUDE IS CALLED MOSES WANYOIKE, HE WAS SAID, HE WOKE UP AND FOUND HIS PRIVATES MISSING WHEN WE BROUGHT HIM TO HOSPITAL, WE SAW HE HAS NOTHING EVEN HIS BALLS AND SECTIONS OF HIS HANDS HAVE BEEN CUT AND IT WAS SAID EARLIER REPORTED THAT THE PERPETRATOR MAY HAVE EATEN SOME OF HIS BODY PARTS.''Mickson alisema.
MCA wa Kamahuha bwana James Karanja ndiye aliye mkimbiza Moses hospitalini.
Mheshimiwa huyu, alipigiwa simu na kuambiwa kuwa kuna jamaa mmoja katika kitongoji chake amekatwa sehemu za siri na papo hapo akachukua gari lake na kuenda kwenye kituo cha polisi kupiga ripoti.
“I was called and told that a man in my ward has been bobbited and I took my car and went to the house, we went to the police and reported the matter.”James Karanja alisema.
Zaidi ya hayo, MCA Karanja alizidi kusema kuwa mmoja wa wanaume waliolala na mhusika amekamatwa na polisi.
“ONE OF THE THREE MEN WHO HAD SLEPT WITH HIM WAS ARRESTED.'' alisema.
“ONE OF THE THREE MEN WHO HAD SLEPT WITH HIM WAS ARRESTED.'' alisema.
Mhusika,Bwana Moses Wanyoike alimwambia bwana Karanja kuwa, alikuwa ameenda kupiga mtindi na rafiki zake na baadaye wakaenda nyumbni kwake na kutoka wakati huo haelewi ni nini kilichotendeka.
Kwa sasa, mhusika huyu amelazwa kwenye hospitali ya Murang'a huku wanakijiji wakijaribu kutafuta sehemu mbali mbali za jamaa huyu na kuhakikisha kuwa zimeregeshwa mwilini.
