Chebet ameamua kuacha kazi ya uanahabari na kuzingatia bidii yake kwenye biashara yake, kupitia kwenye mitandao ya kijamii Chebet alikuwa na haya ya kusema,
“Today I say goodbye to my incredible team at . What an incredible journey it’s been! You have taught me the real definition of being a leader and what teamwork is. This wasn’t an easy decision to make, especially because of your dedication and commitment to getting the job done. Our commitment to telling the stories of mama Mboga’s, SME’s and startups has inspired me greatly and I will take this to my next journey.
I deeply appreciate you all for your viewership, criticism and suggestions that helped us build the first 24 hour Business News Channel in Kenya. As I now embark on my personal journey of entrepreneurship with hope you will ride this journey with me. Love and Light." Alizungumza Chebet.
Mwanahabari huyo alijiunga na runinga hiyo mwaka jana machi baada ya kutoka katika runinga ya Fanaka alipokuwa mkurugenzi mkuu.