logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Nilipoteza kila kitu – Gari ,nyumba ,ndoa na furaha yangu Betty Bayo asimulia

Amesimulia kuhusu alivyokosa pesa za kujikimu pamoja na wanawe

image
na Radio Jambo

Dakia-udaku08 November 2020 - 09:03

Muhtasari


 

  •  Amejutia baadhi ya makosa aliofanya akiwa katika ndoa 
  • Amesimulia kuhusu alivyokosa pesa za kujikimu pamoja na wanawe

 

Msanii wa  nyimbo za kikuyu Betty Bayo ameamua kufunguka zaidi kuhusu  maisha yake na hasa changamoto ambazo amezipitia mwaka huu wa 2020 .

Bayo  amesimulia jinsi alivyokabiliana na hali ngumu kimaisha tangu alipomuacha   mume wake wa zamani Victor Kanyari  ,akisema kwamba amepotteza gari lake ,nyumba na zaidi ya yote ndoa yake .

 Mama huyo wa watoto watatu  amesema miaka mitao iliyopita alipokuwa ‘celeb’ nusura asalimu amri  kwa sababu kila alichopenda kilitoweka

 Amesema kwamba hali ilikuwa ngumu kwake na kuweza kuudu hata lishe bora kwa watoto wake

 “ Nakumbuka sikuweza hata kuwalisha wanangu  lishe bora …. Nilikosa kulipa kodi ya nyumba kwa miezi sita  na mfanyikazi wangu wa nyumbani lakini alisalia mtulivu .Sikutaka kumuambia yeyote akiwemo mamangu kuhusu kilichokuwa kikifanyika  kwa sababu wengi hawangeamini…marafiki wengi waliniacha’ amesema Bayo.

View this post on Instagram

I went to a king and asked him: Who is Jesus?He said, He is the King of Kings.I went to a prince and asked him:Who is Jesus? He said, He is the Prince of peace. I went to an electrician and asked him: Who Is Jesus? He replied: Jesus is the light of the World. I went to a plumber and asked him: Who Is Jesus? He replied: Spring of life. I Went to a doctor and asked: Who is Jesus? He replied: Jesus is the greatest physician. I Went to a hunter and asked: Who is Jesus? He replied: Jesus is the Lion of the tribe of Judah. I went to a psychologist and asked: Who is Jesus? He replied: Jesus is the source of wisdom. I went to a builder and asked: Who is Jesus? He replied: Jesus is a house built on the Rock. I Went to a baker and asked: Who is Jesus? He replied: Jesus is the bread of life......... The only person i didn't meet at home was you..Now that i am seeing you, let me ask you, Who Is Jesus to you?

A post shared by Betty Bayo C.E.O BETTYBAYO TV (@bettybayo_official_page) on

 Amesema kilichompa nguvu ya kuendelea kuishi ni Imani yake kwa mola  na hakuacha kuomba  ili hali iboreke . Betty amekuwa akifunguka kuhusu mengi katika miezi ya hivi karibuni huku akitoa ushauri  wa ndoa kwa wanawake mbali mbali kupitia mtandao

 

View this post on Instagram

TO ALL MEN with all due respect . If you have wronged your rib and you know ulimhurt sana until she walk away ... if you know you still love her .  Just DjMo her dont take too long to apologise.. nowadaiz women adjust very quickly .si unaona ata corona tushazoea .that woman who is crying  for u today and begging you wont do that forever one day she will wake up and move on.....dont follow her when it's too late . Some can't wait for the coming of christ and still wait for you ...dont allow her to know apart from youtube movies Kuna Netflix.. dont allow pride to make you loose your family .go for her now that she is waiting for you..dont say I dint tell you ..... #enjoying Netflix. @djmokenya

A post shared by Betty Bayo C.E.O BETTYBAYO TV (@bettybayo_official_page) on


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved