logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Hii story ya illuminati ilitoka wapi? Msanii wa ukambani Stephen Kasolo ajibu madai hayo

Pia msanii huyo alisema kwamba kabla ya kuanza kazi yake ya usanii alifunga na kuomba

image
na Radio Jambo

Dakia-udaku03 December 2020 - 18:33

Muhtasari


  • Msanii Stephen Kasolo ajibu madai kuwa yeye ni mmoja wa Illuminati
  • Pia alifichua kwamba kabla ya kujiunga na muziki alifunga na kuomba

Msanii wa ukambani Stephen Kasolo kwa mara ya kwanza amejibu uvumi na madai kuwa ni mmoja wa wasanii ambao wamejiunga na Illuminati.

Kasolo alifahamika sana baada ya kutoa albamu yake ambayo inafahamika kama 'Kitole', ni wimbo ambao ulipata watazamaji wengi hasa wa eneo bonde la masharikini mwa kenya.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa facebook Kasolo aliuliza wanaoeneza uvumi mahali wamepota hadithi kuwa yeye ni mmoja wa illuminati.

Pia msanii huyo alisema kwamba kabla ya kuanza kazi yake ya usanii alifunga na kuomba katika eneo la Katoloni kaunti ya Machakos.

"Na hii story ya illuminati ilitoka wapi, wadau kabla ya kuanza safari yangu ya muziki nilienda katika maeneo ya maombi ya katoloni nimeweka mambo wazi?" Kasolo Aliandika.

Baada ya ujumbe wake ulipokea hisia nyingi kutoka kwa mashabiki na hizi hapa baadhi ya hisia zao;

Winfred Wango: When I bought my car they said the same,,don't mind them,,,

Nancie Mwikali: Hata mseme nini Wilberforce musyoka &Ev.john kay will remain to be the only kamba gospel artists....No dramas,the men are humble and their songs blesses everyone hata walevi....kujeni mnipige

Cate Dan Oroni: People don't know God πŸ™ is provider of talents and all silver and gold is his.never worry about people bro focus on ur call.

Dann Zlatan: Binadamu ni wale wale tu..huwezi wapendeza wote ata ukawafanyia nini lazima kuna number kidogo itabakia kuwa mahasidi..la muhimu ni kuchapa kazi zako bora unajua unapoelekea ata wakisema mabaya kukuhusu acha waseme


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logoΒ© Radio Jambo 2024. All rights reserved