logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Nisikie mumeachana tena,'Terence Creative amwambia mchekeshaji Mulamwah na mpenzi wake

Mchekeshaji mwenzake Terence Creative pia aliunga baadhi ya mashabiki huku akiwaambia wasiachane tena

image
na Radio Jambo

Dakia-udaku09 February 2021 - 17:51

Muhtasari


  • Mashabiki wamwambia Mulamwah wasiachana na mpenzi wake
MULAMWAH 2

Mwaka jana uvumi ulienea kwamba mchekeshaji MUlamwaha ameachana na mpenzi wake, huku MUlamwah akiandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa instagram kuhusu kuachana kwao.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alipakia picha yake na mpenzi wake huku baadhi ya mashabiki wakimuonya wasiweze kuachana tena.

Mchekeshaji mwenzake Terence Creative pia aliunga baadhi ya mashabiki huku akiwaambia wasiachane tena wala asisikie wameachana.

 

"Nisiskie mumeachana tena." Terence Aliandika.

Hizi happa baadhi ya hisia za mashabiki;

honalinur: Hii usichome inakaa poa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

flossytrukid: Ambia bibi yako aongeleshe siz yake Niko hapa natafuta patanisho๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

presenter_obae: Washone ya future Konki junior iwekwe itulie tu...

duncantsumbaIle:  shati ulichoma kumbe ilikua na watoi?

nebulazzkenya: Kwani hizi nguo zilikuwa ngapi mtu wangu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.... Twinning ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

 

finesse_ngara_: Usichome hii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚bro

savaisylvia: ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ I didn't see that coming

spannerbowy: Aki nyinyi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

chao_mam_mamii: Mnajikuta bahati na diana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logoยฉ Radio Jambo 2024. All rights reserved