logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Aibu! 'haujui bei ya Pambers,'Saumu Mbuvi amshambulia seneta anwar

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alisema kwamba baadhi ya wanaume hawajui bei ya 'pampers'

image
na Radio Jambo

Dakia-udaku19 February 2021 - 10:04

Muhtasari


  • Saumu Mbuvi amwambia seneta Anwar haya baada ya kuachana

Samu Mbuvi mapema wiki alivuma kwenye mitandao ya kijamii baada ya kufichua kwamba seneta wa Lamu Anwar ambaye ni baba wa mtoto wake kwamba amekuwa akimdhulumu katika uhusiano wao.

Kupita kwenye ukurasa wake wa instagram Saumu alipakia picha akionyesha majeraha kwenye uso wake na kudai kwamba alikuwa amechapwa na seneta huyo.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alisema kwamba baadhi ya wanaume hawajui bei ya 'pampers' ilhali wanajua kuongea kama wanawake.

"KIla mwanamke anaweza kuwa mama lakini inagharimu mama mbaya kuwa baba, hamjui bei ya pampers lakini mnapiga kelele kama mwanamke," Aliandika Saumu.

Seneta huyo akiwa kwenye mahojiano na mpasho alikiri kwamba alimchapa Saumu mara moja kabla ya kujua kama ana shida ya akili.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved