logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Figo zenye uzito wa kilo 35 zatolewa katika upasuaji

Polycystic kidney: Figo zenye uzito wa kilo 35 zatolewa katika upasuaji

image
na Radio Jambo

Dakia-udaku22 October 2021 - 15:05

Muhtasari


• Warren mwenye umri wa miaka 54 kutoka eneo la Windsor ,Berkshire anaugua ugonjwa kwa jina Polycystic kidney .

Mtu anayeaminika kuwa na figo kubwa zaidi duniani amezungumza kuhusu juhudi zake za kuendelea na maisha yake kufuatia upasuaji wa kuziondoa.

Warren mwenye umri wa miaka 54 kutoka eneo la Windsor ,Berkshire anaugua ugonjwa kwa jina Polycystic kidney .

Ugonjwa huo unaorithiwa husababisha uvimbe kukua katika figo hali ambayo inawezi kuzifanya figo hizo kushindwa kutekeleza majukumu yake.

Ugonjwa huo huathiri mtu mmoja kati ya 1000 na hauna tiba. BBC ilikutana na Warren wiki chache zilizopita kabla ya kufanyiwa upasuaji katika hospitali ya Churchill mjini Oxford na ikakutana naye tena baada ya miezi mitatu.

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved