Maelezo ya vizazi tofauti na miaka ya kuzaliwa
Kizazi cha Z kinavuma Kenya baada ya kuhusika zaidi kwenye maandamano ya Jumanne
Kizazi cha Wahenga (GI Generation) Waliozaliwa 1901-1927
Kizazi Kimya Waliozaliwa 1928-1945
Kizazi Baby Boom Waliozaliwa 1946-1964
Kizazi X (Gen X) Waliozaliwa 1965-1980
Kizazi Milennial Waliozaliwa 1981-1996
Kizazi Z (Gen Z) Waliozaliwa 1997-2010
Kizazi Alpha Waliozaliwa 2010-2024
Chanzo: Jarida la Parents