"Huyo mwanamke tulianza tu na urafiki mjini Kisumu hadi tukaamua kuishi pamoja. Tulipooana akalazimisha kujuana na mke wangu wa kwanza aliyekuwa mjini Bungoma.
Sasa siku moja maneno yakatokea na tukabishana sana sasa tulikuwa tunasukumana na hapo nikavunja televisheni na redio kwa nyumba yake." Alijieleza bwana Jafred.
"Tulikuwa tunakosana na yeye akaanza kuharibu vitu za nyumba kwani alikuwa amekasirishwa na mimi kwenda matanga. Sasa aliharibu hizo vitu jumapili usiku kisha jumatatu akaondoka na kwelekea nyumbani kwake na hapo nikakasirika sana." Alijieleza mama Quinta alipopigiwa simu huku akisisitiza kuwa lazima bwana Jafred amlipe mali yake kabla wawili hao kurudiana.
Wawili hao wameisha kwa ndoa ya miaka mitano.
Pata uhondo kamili.
&feature=youtu.be
