logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Lala salama: Tazama picha za rubani Agunda aliyefariki kwa ajali ya ndege

Lala salama: Tazama picha za rubani Agunda aliyefariki kwa ajali ya ndege

image
na

Yanayojiri02 October 2020 - 08:44
Wakenya, marafiki, familia na hata marubani wanaomboleza kifo chake Jacob Agunda aliyeaga dunia baada ya kuhusika katika ajali ya ndege, Jumatatu 13, Julai katika kaunti ya Kitui iliyosababisha vifo vya marubani wawili.

Rubani huyo alifahamika kama Major Jacob Agunda. Kupitia kwenye mitandao ya kijamii, wengi wamemuomboleza kama mpenda kazi yake na hata kuposti picha zake.

Hizi hapa baadhi za risala za rambirambi wengi walizozituma;

Cliff Osir My condolences to the family may he rest in eternal peace

Juknae Security Soldiers never Die and if they die they’ll never rot and if they rot they’ll never smell.

Orero Shaddy Too young to be lost. My condolences to the family Rest In Eternal Peace Comrade Major Jacob Agunda Owiny.

Jacob Ochieng I sincerely express my heartfelt condolences to the family and may God rest his soul in eternal peace

Clifford Lynox I saw this news but never knew it was you Jakachola Major Ltn. Agunda Owiny Adamba. Awuoro😭.

Gibbs Jasuna Captain Mbori from Migori also a chopper pilot from the same 50th Air Calvary died in a crash with PC Chelang’a years ago. May his soul RIP.

Odhiambo Opiyo RIP Major Simon Owiny Agunda. You served your country well Jakobura. Condolences to the family of your co-pilot who also perished in today’s crash.

Princess Paula Daniel We lost one of our Kenyan Heros., Rip brothers..fly with the angels

James Kimatu What saddens me is to have a nice guy I know like major… depart abruptly.May His soul go to nice place he once wished of after life here

Maurice Odhiambo You were a high flying and glowing star,RIP brother.

William Oswago RIP Daktari. You were a man and a half.

Mola ailaze roho yake mahali pema, hizi hapa baadhi za picha zake Agunda kabla ya kifo chake;

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved