Kulingana na mama huyo wa watoto tano, alisema kuwa ana mambo mengi katika maisha yake na na aliacha kusaidia familia yake na pesa au kulioa gharama ya chocote.
"Mimi ni mama na nitazidi kuwa mama, moyo wangu hunisaliti kila mara kutoka kwa pembe moja hadi nyingine, nina mambo mengi ya kufanya katika maisha yangu hasa kulipa gharama, iwe ni mama yangu, baba yangu au babu zangu
"Tangu niache kupea familia yangu pesa na kuhudhuria shida zao ingawa huwa na tatua shida za familia yangu wazazi na babu zangu sijaweza kupendwaWazazi wangu hawafahamu chochote kuhusu mali yangu ata nikifa leo hawana fikra zozote nani yuko katika wasia wangu, ni wageni nyumbani kwangu
Na heshimu na napenda familia yangu na cha muhimu na kuwaweka pamoja ni kuwapenda kwa umbali kwa maana sina la kufanya nilikuwa hospitalini kwa wiki mbili sikuona jamaa yeyote mbali na watoto wangu, mashabiki, wafanyakazi wangu na kampuni ya bima
Hili ni jambo la mtu mwenye akili kufahamu mapema, lakini nilijua marafiki wangu wa karibu wacha nirudi nikapigane na jirani yangu kwa ajili ya shambaNitahotubia taifa alhamisi, stay calm and God Bless."
