logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Wema Sepetu akana madai ya kuwa msagaji, huku akimkosoa Mwanablogu Mange

Alifichua kwamba anamheshimu Mange, na kwamba anapaswa kumheshimu.

image
na Radio Jambo

Habari09 March 2022 - 08:09

Muhtasari


  • Wema Sepetu akana madai ya kuwa msagaji, huku akimkosoa Mwanablogu Mange
wema 5 (1)

Muigizaji kutoka Tanzania Wema Sepetu kupitia kwenye ukurasa wake rasmi wa instagram amemkosoa mwanablogu Mange kwa kueneza habari za uongo kuhusu jinsia yake.

Wema alimkosoa huku akikana madai na uvumi kuwa yeye ni msagaji, pia alifichua kwamba mdai yake Mange yalimuumiza.

Alimshauri mwanablogu huyo akwame kuharibia watu jina kwani watu hao wana familia, na pia ni mfano mwema kwa wengi.

"Kabla ya Yote, Mi Mange ananikera bwaaaanaaa.... Na hii app yake ya Uongo na kweli ndo kabisaaaa inaninyima Raha...

Its too much... kutwa kuandika habari za uongo... Skia Mange, Iam Not Homeless & I love Men... Mimi sio hivyo unavyoambiwa... Nidhamu ya Uoga imefika mwisho wallahy I feel soooo bad.... Yaani unaniwekea Sura nyingine na tofauti kwa watu & Guess what its not funny kabisa kabisa...." Aliandika Wema.

Alifichua kwamba anamheshimu Mange, na kwamba anapaswa kumheshimu.

"Nakuheshimu mnoooooooo, The least i deserve to get from u ni heshima pia... Usitumie app yako ku bully watu cause hao hao watu unaowa turnish image zao wana familia pia jamani..... Aaaaaargh its too much bwana.... Mbona mi sitaki kabisa kukuvunjia heshima..... Its sooooo painful.... U shud Stop it Bwana....‼️‼️‼️"

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved