logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Fahamu watu wa familia ya Museveni wanaohudumu katika serikali ya Uganda

Mkewe (Janet Museveni) anayehudumu kama waziri wa elimu na mwanawe (Muhoozi Kainerugaba) anayehudumu kama mkuu wa majeshi, ni miongoni mwa watu kadhaa wa familia.

image
na Samuel Maina

Grafiki24 February 2025 - 16:23

Muhtasari


  • Kando na Mkewe (Janet Museveni) anayehudumu kama waziri wa elimu na mwanawe (Muhoozi Kainerugaba) anayehudumu kama mkuu wa majeshi, Musevenia pia ndugu zake serikalini.
  •  Salim Saleh, kaka yake, ni mshauri mkuu wa rais kuhusu masuala ya kijeshi huku Miriam Karugaba ambaye ni dadake akiwa msimamizi wa ikulu.
  •  Baba mkwe wa Muhoozi Kainerugaba pia aliwahi kuhudumu kama waziri wa masuala ya kigeni nchini humo.

Familia ya Museveni serikalini Uganda

Makala Zinazohusiana


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved