picha: the-star.co.ke
Walimu kuanzia sasa watakuwa wakipandishwa vyeo kwa msingi wa utenda kazi wao.
Tume ya kuwajiri walimu, TSC, imeonya kwamba ualimu haitokuwa tu kazi ya kuwa darasani kwani hivi karibuni watazindua mfumo wa kukadiria ubora na umuhimu wa kila mwalimu kwa huduma hiyo.
