logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Majambazi wanne wauawa Loresho

Majambazi wanne wauawa Loresho

image
na

Habari01 October 2020 - 13:40

Photo source: nairobinews.co.ke

Polisi hapo jana wamewaua kwa kuwapiga risasi majambazi wanne katika mtaa wa kifahari wa Loresho hapa Nairobi.

OCPD wa Gigiri Vitalis Otieno anasema wanne hao waliofumaniwa wakati wakiiba bidhaa boma moja mtaani hapo walipatikana na bastola na risasi nne.

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved