logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mahojiano ya kuchukua nafasi ya Johnston kavuludi yaanza rasmi

Mahojiano ya kuchukua nafasi ya Johnston kavuludi yaanza rasmi

image
na

Mahakama02 October 2020 - 00:10
Huku Johnstone akimaliza wakati wake wa miaka, 6, mwaka jana (National Police Service Commission) iliamua kufanya mahojiano ya atakye chukua nafasi hiyo.

Miongoni mwa waliotuma barua ilikufanyiwa mahojiano ni aliyekuwa msemaji wa kitaifa yaani (National Assembly speaker) Kenneth Marende.

Ambaye amefanyiwa mahojiano hayo, alikuwa katika kikundi cha watu 10 waliochaguliwa kuchukua nafasi hiyo ya Kavuludi.

NPSC inatanzamia kujaza nafasi hiyo na mwenyekiti na makamishina wengine.

Miongoni mwa wengine ambao wako katika mahojiano hayo ni pamoja na, Bw Stephen Kirogo, Bw Kennedy Kihara anayetangaza baraza la mawaziri.

Stephen ambaye ametoka katika shirika la (piblic service commossion), Bi Anne A madi ambaye ametoka katika mahakama.

Wengine waliohusika katika mahojiano hayo ya jumatatu ni kama, Bi.Kagwiria Mbogori ambaye ametoka katika shirika la (Kenya national commission on Human rights) na Bi Joyce Mwikali kutoka (National gender and equality commission).

Huku Johnstone akimaliza wakati wake wa miaka, 6, mwaka jana (National Police Service Commission) iliamua kufanya mahojiano ya atakye chukua nafasi hiyo. Elijah Kodoh, Bw Peter Nkuraiyia, Dkt Zachary Mwangi, Bw Muktar Adi Ali, Bw Eliud Kinuthia, Bi Lucy Wanja, Bw Elijah Nduati, Bi Irene Njeri Wanyoike na Margarete Cheboiwo.

Nani atakaye faulu kuwa mwenyekiti na akina nani watakao kuwa makamishina wa ofisi hiyo mahojiano yakiendelea mpaka ijumaa wiki hii?

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved