logo

NOW ON AIR

Listen in Live

My crazy ex-wife lied that our baby was dead to get back at me'' - Angry man

My crazy ex-wife lied that our baby was dead to get back at me'' - Angry man

image
na

Habari02 October 2020 - 11:39
Most of the time, stories about how men mistreat their partners are the ones that get to see the light of day, forgetting men too suffer from such!

Trust you me it is not that they are 'too strong' to talk about it or are afraid of being ridiculed, but just that we don't give their stories too much emphasis.

One man during Massawe Japanni's show decided to open up on how his ex wife took him through hell without an ounce of sympathy.

According to the gentlemen, he left for Tanzania after knowing the lady for a while and that's when drama upon drama unfolded.

She would lie to him that she is an orphan who needs college fees yet the only thing she would do is hang around the whole day. Not forgetting he had sacrificed money meant to build his own house, just to support her 'dream'.

Whenever he brought up the idea of visiting his in-laws, she would fake a sickness to avoid being exposed, and that raised a red flag.

Upon his investigations, he even came to realize that she was pregnant with someone else's baby and that is when he decided to move on.

Read his narration below.

Mimi nilikuja nikapata msichana, nikampenda na nikamwamini sana lakini akaja akanidanganya kuwa anaenda shule. Kumbe ni starehe tu alikuwa anaenda akifanya town, akitoka kula anarudi kwa nyumba.

Mimi nilikuwa nang'ang'ana nafanya kazi nikidhania nimepata mtu ambaye tunaweza jengana kimaisha.

Alinidanganya kuwa amesomea medicine lakini ilifika baada ya miaka miwili nikitoka Tanzania, nilitaka tuishi pamoja ili nijue mipangalio yake ni ipi.

Lakini nilifuatilia hata vitabu vyake sikupata mahali amekuwa akienda shule kwani hata notes hakuwa nazo kwani hakuwa anaenda shule. Na nilipofuatilia kwa karibu tukaja tukakosana.

Pesa nilizokuwa nimetenga za kujenga nyumba nikampa ili asomee kwani alidai kuwa yeye ni yatima na hakuwa yatima.

Kila tulipokuwa tukipanga kwenda kwao ilikuwa kizaazaa kwani alikuwa anadai mara ni mgonjwa. Nakumbuka hata kuna wakati ambapo tulienda kwao wakati alipodai kuwa amejifungua mtoto akafa.

Alinidanganya kuwa mtoto wetu ameaga kumbe hata haikuwa mtoto wala ilikuwa mambo ya kutaka kuficha ukweli fulani.

So what did he do once he realized the true colors of his wife?

Nilikuja nikakalishwa na wazazi nyumbani tukajaribu kusuluhisha lakini nilipompa chance ingine alikuja akashika mimba ambao haikuwa yangu. Akanidanganya ameenda interview na kumbe ameenda kutoa mimba, so nikaamua wacha yaishe.

Lakini nashukuru nilimpata mtu ambaye ananielewa na sahii tunaendelea vizuri.

&t=5s


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved