logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Makiwa! Siku ya kumzika CEO wa Safaricom marehemu Bob Collymore yatangazwa

Makiwa! Siku ya kumzika CEO wa Safaricom marehemu Bob Collymore yatangazwa

image
na

Patanisho02 October 2020 - 02:15
D-X82B6X4AEe_vL
Baada ya kiongozi wa kampuni ya Safaricom kuaga leo asubuhi, siku ya kumzika na kumpa pole mwendazake imetangazwa. Mwili wa marehemu unatakiwa kuzikwa kesho kwa mujibu wa vyanzo vinavyoaminika. Inadaiwa kuwa mazishi ya kiongozi huyu yatakuwa na watu wachache zaidi. Bob Collymore amekua akiugua saratani na amekua akipokea matibabu tangu Oktoba mwaka uliopita. Amemwacha mke na watoto wanne.

Soma hapa:

Kwa mujibu wa habari kutoka kampuni ya  Safaricom, Collymore amekuwa akipokea matibabu kwa hospitali kadhaa na hivi majuzi amekuwa akitibiwa katika hospitali ya Aga Khan, Nairobi.

Viongozi nchini wametuma risala za rambirambi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa kiongozi huyu. Bob Collymore alimuoa mpenzi wake Wambui Kamiru mwaka wa 2016. Mke wake Collymore ni msanii na muasisi wa The Art Space.

Hizi ni baadhi ya Jumbe:

Raila Odinga “My condolences go out to the friends and family of Mr Bob Collymore as well as the entire Safaricom fraternity. Bob served our country with dedication and sustained us as a communication hub in Africa. May his soul rest in eternal peace.”

Uhuru Kenyatta “It is with deep sadness that I have this morning received news of the death of Safaricom CEO Bob Collymore after years of battling cancer. As a country, we’ve lost a distinguished corporate leader whose contribution to our national wellbeing will be missed”

Soma hapa pia:

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved