logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Maajabu haya! Yesu amefika Afrika Kusini? (VIDEO)

Maajabu haya! Yesu amefika Afrika Kusini? (VIDEO)

image
na

Habari02 October 2020 - 02:45
Africa Pic 3
Baada ya kufufua maiti mwezi Aprili, Kasisi mwingine hio jana aliwashangaza wengi alipomwalika mtu anayesemekana kuwa ni Yesu kwenye ibada ya misa hio jana kule Afrika kusini.

Mtu huyo aliyevalia kama mkombozi wa wayahudi kwenye bibilia takatifu ,anasemekana kuwa ni 'Yesu' aliyerejea ulimwenguni.

'Yesu' huyo alikuwa kwenye msururu wa waumini wakielekea kanisani huku wakiimba ngoma za Kumsifu Mungu. Jambo hili limepelekea watu wengi kulichekelea taifa la Afrika Kusini kwani wengi wanamfikiria mtu huyo kuwa ni tapeli tu aliyejifunika na ngozi ya kondoo lakini mle ndani ni mbwa mwitu.

Bwana Yesu anatarajiwa kurejea Dunia wakati wowote ila hakuna ajuaye ni lini ama ni wapi atakapoanzia ziara yake ya kuwachukua wanakondoo wake.

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logoΒ© Radio Jambo 2026. All rights reserved