logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Je ni yeye? Jowie atoa picha zote za Jacque Maribe Instagram

Je ni yeye? Jowie atoa picha zote za Jacque Maribe Instagram

image
na

Football02 October 2020 - 04:17
jowie na maribe
Wakenya wamesalia midomo wazi pindi tu picha zote za mwanahabari Jacque Maribe, zilifutwa kwa mtandao wa kijamii wa Instagram wake Jowie.

Maribe na Jowie walichumbiana mwaka uliopita na walikuwa wanapanga kufunga pingu za maisha. Hata hivyo, mwezi Septemba mwaka huo huo wawili hao walitiwa mbaroni kufuatia kifo chake Monica Kimani.

Baada ya kukaa wiki chache korokoroni, Maribe aliachiliwa kwa dhamana, huku Jowie mtuhumiwa mkuu akarushwa katika gereza la Kamiti.Jowie na Maribe walikuwa wakichapisha picha zao katika akaunti zao tofauti za Instagram zinazoambatana na ujumbe mtamu.

Well, a day after he was remanded for more than two months until February 13, 2020, Jowie deleted most of the posts on his Instagram leaving only 22.

Kweli, siku moja baada ya kurudishwa rumande kwa zaidi ya miezi miwili hadi Februari 13, 2020, Jowie alifuta picha nyingi kule Instagram na kubakisha 22 pekee.

Alifuta pia picha alizopiga na Maribe na rafikiye wa dhati Joe Muchiri.

Zifuatazo ni baadhi ya picha alizofuta,

 

Maribe pia alifuta picha za mpenziwe wa zamani kutoka kwa mtandao wake wa Instagram pamoja na sherehe yao ya kuchumbiana.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved