Hii ni baada yake kuhamishwa kutoka jela ya Kamiti hadi jela ya Manyani ilioko Voi baada ya kupatikana na kifaa ambacho hakikubaliki humo ndani.
Kulingana na afisa mkuu alizungumza na Star na kuomba kutokujulikana kwa kuhofia, alisema,
JOWIE ALIHAMISHWA KUTOKA KAMITI HADI MANYANI SIKU YA IJUMAA. SIWEZI SEMA MENGI KUHUSU HILO," AFISA HUYO ALISEMA JUMATATU.
Jowie atakuwa jela kwa Krisimasi nyingine huku mahakama ikingojewa kutoa uamuzi juu ya ombi lake la dhamana mnamo Februari 13, 2020.
Here are photos from inside Manyani Maximum Security Prison that will make you pray for Jowie.
Tazama picha za kutoka ndani ya gereza la Manyani ambazo zitakufanya wewe umuombee Jowie.