logo

NOW ON AIR

Listen in Live

TOBOA SIRI: Nataka mamangu ajue nina talanta ya kupiga kuni

TOBOA SIRI: Nataka mamangu ajue nina talanta ya kupiga kuni

image
na

Habari02 October 2020 - 04:42
Jamaa mwenye umri wa miaka 34 kutoka maeneo ya magharibi alipiga simu katika kitengo cha toboa siri ambapo aliwaacha watangazaji, Mbusii na Lion vinywa wazi.

Hii ni baada ya mkaazi huyo wa maeneo ya magharibu mwa Kenya alisema kudai kuwa anasumbuliwa na wazazi ili aweze kufunga ndoa.

Hata hivyo, hana shida ya kusaka mchumba ila shida au ukipenda talanta ya kupiga kuni ndio inayo mzuia.

Anasema alianza kushiriki ngono akiwa na miaka 14 na sasa ni miaka 20 tangia aanze kushiriki mapenzi ila bado hajampata mwanadada wa kumtosheleza.

Anasema licha yake kushiriki ngono miezi mitano iliyopita, amelala na wanawake tano ila hamna aliyetaka maneno yake baada ya hilo.

Anasimulia,

Mimi nimekuwa na shida na hata sijui niite aje. Nimetongoza wasichana wengi lakini sijawahi pata yeyote wa kuoa, kwani mimi huhisi kupigana kuni kila wakati.

Ubaya ni eti mwenye napata nikipata mtu nikipiga kuni mara moja yeye husema ametosheka ila mimi sijatosheka. Nimejaribu wasichana kama tano ivi ila sijapata wa kuoa kwani mimi hudai mara nyingi hadi naweza pigana kuni siku mzima.

Nikapata mwenye ana mahanjam kama yangu ndiye pekee tunaeza ishi pamoja. Nimejaribu kuchapisha katika mitandao ya kijamii nikitafuta mtu ila bado sijafanikiwa.

Hii siri yangu nataka itobokee wazazi wangu ili wajue kuwa sijapata mtu mwenye appetite kama yangu. 

&t=153s


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved