Lakini baada ya kushiriki ngono anasahau kuw mwanamke huyo ana maisha ya baadaye hata hukosa kumjulia hali mpenziye huyo wa mud tu.
Zifuatazo ni baadhi ya dalili ambazo unapaswa kuangalia endapo mpenzi wako ana kupenda ama ni wa ngono tu yaani kwa lugha ya mtaa ni'fisi'.
1.Wanakupigia simu tu wanapotaka mshiriki ngono
Wanaume kama hawa kukupigiasimu kufahamu hali yako bali watakutumia ujumbe wa kukusihi uende ushiriki tendo la ngono nao.
2.Hawatakuonyesha wanapoishi wala kukukaribisha
Wankasumba ya kukupigia simu tu na kukuuliza iwpo wanaeza kukutembelea kwako bali si kwaokwa maana labda wana mke ama wana wapenzi wengine.
3.Hawataki kukugharamia
Mwanaume ambaye anataka tu mshiriki tendo la ngono labda kwa nyumba yako ama yake bila ya kutummia senti hat moja .
Hatakupeleka mkale pamoja katika mkahawa mkubwa, kwanza atatumia mipira ya kondomu ambayo ni za bure zinazopeanwa na serikali.
4.Hawatawahi kukujulisha kwa marafiki au familia zao
Mwanaume aina hii anataka ngono kutoka kwa mwanamke bali kukujulisha kwa marfiki wake wake ma jamaa ni balaa,utasiki akisema ana mamia ya marfiki lakini kuwaona Ng'oo.
5.Hatafanya bidii kukujua zaidi
Kwa sababu akilini mwake ashasdiki kuwa hamna cha maana kati yake n wewe ,hatatia hmnazo ya kutaka kukufahamu zaid bali ngono tu.
6.Ameshikana kila wakati
Mwanaume ain hii kila mara atkuwa hana wakati unapohitaji msaada w usaidizi wa dharura kutoka kwake,lakini wakati anahisi mshiriki ngono,mashallaah jama anapata wakati sasa.
7.Hana mipango ya maisha yake
Hana mipango ya ruwaza yoyote anayopania kuafikia katika misha yake na maendeleo anayoafikia akilini ni kushiriki ngono kitandani tu.
Kwa hakika ni wengi wamepitia haya na kujua baadaye muda ukiwa umeshaayoyoma, lakini mwaka huu je uko angee?